MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''
Thursday, February 21, 2013
Msanii atua Marekani kuitangaza Tanzania
KIONGOZI wa
kundi la kudansi la nyumba ya vipaji Tanzania ‘THT’, Msami Giovann ‘Msami’ hivi karibuni amepata mwariko katika kundi la
Jump Rope Dancers & Double Dutch ‘Waruka Kamba’ wa Marekani, ilikuwafunza mitindo ya Afrika
hususani Tanzania.
Alisema mwaliko huo ameupata kutoka katika kundi hilo
lililopo katika jimbo la Washington, Las Vegas, Ohio na baadaye kwenda
kutembelea katika jiji la Newyork.
Thursday, February 7, 2013
Fungate yaingia sokoni kutikisa jijiji
Ile filamu ambayo ilikuwa ikisubiriwa na watu wengi yenye histori ya Kipekee ya Fungate, imeingia sokoni hivi karibuni. Katika filamu hiyo ambayo imeongozwa na Kampuni ya CY & CL Company, imewashirikisha wasanii kibao akiwemo Liberty Msuya, Issa Mussa 'Cloud 112', Batuli na wengine kibao
Happy Bithday Batuli
Mwigizaji wa filamu Batuli alifanya shere ya kuzaliwa kwake katika moja ya hoteli iliyopo Sinza.
Hata akilishwa keki na mwigizaji mwenzake Johari wa Rj Company
Gomesa akiwa na Batuli
Simple akikata msosi
Chuchu Hans akiwa na mashahiba wake
Maya akiwa kwenye pozi
Shamsa Ford
Hata akilishwa keki na mwigizaji mwenzake Johari wa Rj Company
Gomesa akiwa na Batuli
Chuchu Hans akiwa na mashahiba wake
Maya akiwa kwenye pozi
Subscribe to:
Posts (Atom)