Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Thursday, February 21, 2013

Msanii atua Marekani kuitangaza Tanzania


KIONGOZI wa kundi la kudansi la nyumba ya vipaji Tanzania ‘THT’,   Msami Giovann ‘Msami’  hivi karibuni amepata mwariko katika kundi la Jump Rope Dancers & Double Dutch ‘Waruka Kamba’  wa Marekani, ilikuwafunza mitindo ya Afrika hususani Tanzania.
Alisema mwaliko huo ameupata kutoka katika kundi hilo lililopo katika jimbo la Washington, Las Vegas, Ohio na baadaye kwenda kutembelea katika jiji la Newyork.

No comments:

Post a Comment