Kwa taarifa za haraka haraka toka iingizwe sokoni filamu ya Jeraha la Moyo imeonekana kupokelewa kwa mwitikio Chanya ambapo wadau na wapenzi wa filamu nchini wanonekana wakinunua kwa wingi nakala zake.
Filamu hii imeshirikisha wasanii maarufu na wakali wa sanaa nchini akiwemo Kajala Masanja, Elizabeth Swinny, Zamaradi Salumu, Zuwena Mussa, Marry Mtemi pamoja na Injini ya jiji CLOUD 112.
Kama bado hujapata nakala yako nakushauri uende katika stoo zetu na upate nakala yako. Akhsanteni kwa ushirikiano wenu na Mchango wenu.
Haluuuuuaaa!!!
No comments:
Post a Comment