Nyota wa muziki wa kizazi kipya Albert Magwea, ambaye amefariki katika
hospitali ya St. Hellen iliyopo Johansbarg, anatarajia kufika nchini na
kuzikwa mkoani Morogoro. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA
PEPONI....... AMIN
TOA MAONI YAKO HAPA:
No comments:
Post a Comment