Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Thursday, May 30, 2013

UJUMBE WA CPWAA KWA WAPENZI WA ALBERT MANGWEAR:



Shukrani wadau wote mliokuja Leaders Club  jioni kwenye kikao cha mazishi ya ndugu yetu Albert mangwea! Familia yake, Maproducers,wasanii,Bloggers,Promoters,Friends and wadau wote..Finally tuna kamati maalum ( PFunk, Proffesor Jay, Jay Moe, Noorah,Mchizi Mox, Lady JayDee, DjChoka, Romeo Jons, Michelle, Nick Dizo, Mez B, nna wengine kibao) Pamoja na familia yake tutashirikiana bila mipaka na matabaka kumpumzisha ndugu yetu! fatilia mitandao ya habari kwa official news zaidi..Msiba ni Mbezi kwa goigi! kwa habari zaidi na Kuchangia msiba fuatilia vyombo vya habari! #TanzaniaMoja #WasaniiiPamoja #RIP Ngwea


TOA MAONI YAKO HAPA:

Wednesday, May 29, 2013

WASANII HAWA WAMEGHAIRISHA SHOW ZAO:

CLICK READ more:

UJUMBE WA P FUNK MAJANI KWENDA KWA KUSAGA WA CLOUDS FM:

P-Funk Majani producer wa siku nyingi, mmoja kati ya waasisi wa Bongo Fleva Tanzania, ameandika ujumbe maalum ambao ametaka umfikie bwana Kusaga wa Clouds Fm, huku kwenye ujumbe huo akimshutum sana kuhusika na kifo cha Mangwear cheki hapa chini ujumbe wenyewe:

NGWEAR AFARIKI DUNIA:

Nyota wa muziki wa kizazi kipya Albert Magwea, ambaye amefariki katika hospitali ya St. Hellen iliyopo Johansbarg, anatarajia kufika nchini na kuzikwa mkoani Morogoro. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI....... AMIN