Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Thursday, February 21, 2013

Wema azindua kampuni yake


MWIGIZAJI mwenye mvuto wa kipekee nchini Wema Sepetu, ameitambulisha rasmi ofisi yake ambayo atakuwa akipatikana na kufanya kazi zake za kifilamu katika kampuni ya Endless Fame Film.











Msanii atua Marekani kuitangaza Tanzania


KIONGOZI wa kundi la kudansi la nyumba ya vipaji Tanzania ‘THT’,   Msami Giovann ‘Msami’  hivi karibuni amepata mwariko katika kundi la Jump Rope Dancers & Double Dutch ‘Waruka Kamba’  wa Marekani, ilikuwafunza mitindo ya Afrika hususani Tanzania.
Alisema mwaliko huo ameupata kutoka katika kundi hilo lililopo katika jimbo la Washington, Las Vegas, Ohio na baadaye kwenda kutembelea katika jiji la Newyork.

Mansuli kuwakaribisha Bilicanas


Mwana Fa kuja kivingine kabisa


Thursday, February 7, 2013

Fungate yaingia sokoni kutikisa jijiji

 Ile filamu ambayo ilikuwa ikisubiriwa na watu wengi yenye histori ya Kipekee ya Fungate, imeingia sokoni hivi karibuni. Katika filamu hiyo ambayo imeongozwa na Kampuni ya CY & CL Company, imewashirikisha wasanii kibao akiwemo Liberty Msuya, Issa Mussa 'Cloud 112', Batuli na wengine kibao
 































Happy Bithday Batuli

 Mwigizaji wa filamu Batuli alifanya shere ya kuzaliwa kwake katika moja ya hoteli iliyopo Sinza.

 Hata akilishwa keki na mwigizaji mwenzake Johari wa Rj Company





 Gomesa akiwa na Batuli




 Simple akikata msosi
 Chuchu Hans akiwa na mashahiba wake
 Maya akiwa kwenye pozi

Shamsa Ford