Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Wednesday, June 27, 2012

Mambo yazidi kunoga PEZI LA KIZA

Kazi inazidi kupamba moto katika ujio mpya wa filamu ya Kichawi ya PENZI LA KIZA, naweza kusema ni filamu iliyojaa matukio ya kutisha na yaajabu. Huenda ikawa nifilamu ya pekee ambayo watu wamefanya mambo ya ajabu kuliko watu wanavyofikiria, ni ujio wa Penzi la Kiza chini CY & CY company








Mwanaharakani wa Madaktari apigwa na kuharibiwa sura

Yule mwanaharakati wa Madaktari,  Dkt. Ulimboka akiwa ktk hali mbaya mara baada yakuokotwa akiwa hajitambui , baada ya kupigwa vibaya sana. Inasadikiwa kwamba Dkt Ulimboka alitekwa jana usiku mishale ya saa6 usiku baadaya kupigiwa simu na mtu alisiyetambulika. Inasemekana Dkt Ulimboka alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kutokana na hari hii huenda  wafanyakazi wa chumba cha maiti muhimbili nao kuingia kwenye mgomo usiokuwa na mwisho. Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki watanzania wawe na moyo wa imani Amin.
Add caption

Mrembo wa Facebook


Nichum yatua Billicanas


Linah akamilishs tamasha la kurudi nyumban

Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Nyumba ya vipaji Tanzania Linah Sanga, juzi alikamilisha tamasha lake ambalo lilikuwa kama kukalibishwa katika jiji la Dar es salaam baada ya kutoka Marekani kwenye Tour iliyoghalimu miezi kibao. Tamasha hilo alilifanya Maisha Club na kukusanya watu kibao waliotaka kujua nini angefanya pindi atakapokuwa jukwaani.


Linah na Mwana Fa

Linah na Country Boy


Watu kibao

Tuesday, June 26, 2012

Lindi wajiandaa na Epiq Bongo Star Search

SHINDANO kubwa la kutafuta, kuibua na kuendeleza vipaji nchini kwa sasa linaamia mkoani Lindi katika ukumbi wa Police Officers Mess Jumamosi ijayo.  Katika ukumbi huo washiriki wanatarajiwa kuanza usaili kuanzia saa moja asubuhi ambapo kabla ya kuanza kuonesha vipaji vyao mbele ya majaji.
Akizungumzia usaili wa Lindi Jaji Mkuu wa EBSS Ritha Paulsen alisema kuwa kama ilivyokuwa mkoa wa Dodoma na kisiwani Zanzibar  kwa mkoa wa Lindi wanatarajia kuona vipaji lukuki na aliwasihi wasichana kujitokeza kwa wingi.  “ Mimi ninaamini kuwa mkoa wa Lindi kuna vipaji yani kama ambavyo tumeona kwa maeneo mengine sasa kwa Lindi nadhani kutakuwa na ushindani mkali kwa kuwa wapo baadhi ya wasanii kutoka Lindi ambao wameweza kufanya vema katika medani ya muziki nchini”alisema Ritha.
Akizungumzia washindi waliopatikana Dodoma na Zanzibar Ritha alisema kuwa wamekuwa wakiimba vizuri na walionehsa uwezo mkubwa katika kupangilia sauti zao.  Naye Mkuu wa mawasiliano wa Zantel Awaichi Mawalla alisema kuwa Zantel ikiwa kama mdhamini mkuu wa EBSS 2012 kutokana na imani yao kwa wakazi wa Lindi katika kuendeleza sanaa anaamini kuwa mbali na kujitokeza kwa wingi ila pia watadhihirisha kuwa muziki ni asili yao.
Mpaka sasa majaji wa shindano hilo la EBSS 2012 wameshapata vipaji kutoka Dodoma na Zanzibar ambapo vijana 10 wamepatikana.

Candy aja kivingine

CANDY CALFONIA AMEACHIA VIDEO YAKE MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA "CHANINI" CHINI YA USIMAMIZI WA MTU MZIMA  DIRETOR  "GOBA FRED" AMBAYE ANAMILIKI KAMPUNI YA "NEW PAGE VIDZ," VIDEO HIYO AMBAYO INATAZAMIWA KUWA NGUMZO KWA MASHABIKI NA WATAZAMAJI WA RUNINGA MBALIMBALI HAPA NCHINI, KWANI HUMO NDANI KUNA MBWEMBWE, KUJIACHIA KUSIKO MFANO, KUJISHEBEDUA, KURINGA KULIKOPITILIZA NA UHODARI MKUBWA WA KUDANCE ALIOUONYESHA NDANI YA VIDEO HIYO, HAKIKA DIRECTOR ALIKUWA MWENYE WAKATI MGUMU SANA WAKATI ANACHUKUA CLIPS  ZA VIDEO HIZO.....EBU PATA NAFASI UIONE VIDEO HII NA UONE JINSI CANDY ALIVYOJIACHIA NI BALAA...!! VIDEO YAKE HIVI PUNDE TU ITAONEKANA KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA LUNINGA NDANI NA NJE YA TANZANIA. MWANADADA CANDY AMBAYE WIMBO WAKE HUO MPYA  UNAOKWENDA KWA JINA LA "CHANINI" NI MIONGONI KWA JIMBO 6  ZA WASANII CHIPUKIZI ZILIZOCHAGULIWA KWA AJILI YA FIESTA 2012 NA NI MWANAMKE PEKEE KWENYE GROUP HILO LA WATU SITA AMBAPO  WATANO NI WANAUME. 


   JINA LA WIMBO (VIDEO)        :   CHANINI
   WATENGENEZAJI WA VIDEO  :   NEW PAGE VIDZ
   MSIMAMIZI                              :   GOBA FRED
   MSANII                                      :   CANDY
   WATENGENEZAJI(AUDIO)        :   PAMOJA RECORDS